Leviticus 4:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha atayaondoa mafuta yote ya ng'ombe huyo: Mafuta yanayofunika matumbo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atayaondoa mafuta yote ya fahali huyo wa sadaka ya dhambi: mafuta yale yanayofunika sehemu za ndani au zile zinazounganika nazo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha mafuta yote ya huyo ng'ombe wa sadaka ya dhambi atayaondoa; mafuta yote yafunikayo matumbo, na mafuta yote yaliyo katika matumbo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha atayaondoa mafuta yote ya ng'ombe huyo: mafuta yanayofunika matumbo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atayaondoa mafuta yote ya fahali huyo wa sadaka ya dhambi, mafuta yale yanayofunika sehemu za ndani au zile zinazounganika nazo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atayaondoa mafuta yote ya fahali huyo wa sadaka ya dhambi, mafuta yale yanayofunika sehemu za ndani au zile zinazounganika nazo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha mafuta yote ya huyo ng'ombe wa sadaka ya dhambi atayaondoa; mafuta yote yafunikayo matumbo, na mafuta yote yaliyo katika matumbo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha atayaondoa mafuta yote ya ng'ombe huyo: Mafuta yanayofunika matumbo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mafuta yote ya huyu dume aliye ng'ombe ya tambiko ya weuo sharti ayaondoe kwake, ni yale mafuta yanayoufunika utumbo pamoja na mafuta yote yanayoshikamana na utumbo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha mafuta yote ya huyo ng’ombe wa sadaka ya dhambi atayaondoa; mafuta yote yafunikayo matumbo, na mafuta yote yaliyo katika matumbo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha ataondoa mafuta yote ya ngombe huyo: mafuta yanayofunika matumbotumbo,