Leviticus 5:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiyo ni sadaka ya hatia; yeye ana hatia mbele ya Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ni sadaka ya hatia; amekuwa na hatia kwa kufanya kosa dhidi ya Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni sadaka ya hatia; hakika yake ni mwenye hatia mbele za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiyo ni sadaka ya hatia; yeye ana hatia mbele ya Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ni sadaka ya hatia; amekuwa na hatia kwa kufanya kosa dhidi ya BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ni sadaka ya hatia; amekuwa na hatia kwa kufanya kosa dhidi ya bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni sadaka ya hatia; hakika yake ni mwenye hatia mbele za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiyo ni sadaka ya hatia; yeye ana hatia mbele ya Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, hii ni ng'ombe ya tambiko ya upozi, kwa maana manza, alizozikora, alizikora kwake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni sadaka ya hatia; hakika yake ni mwenye hatia mbele za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiyo ni sadaka ya kosa; yeye ana kosa mbele ya Yawe.