Leviticus 5:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Au, kama mtu akiapa kufanya chochote kile, chema au kibaya, kama wafanyavyo watu bila kufikiri, atakapojua atakuwa na hatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Au kama mtu ameapa kufanya kitu chochote bila kufikiri, kiwe chema au kibaya, kwa vyovyote mtu aweza kuapa bila kujali, hata akiwa hana habari, atakapofahamu atakuwa na hatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
au, kama mtu akijiapisha, kwa kutamka haraka kwa midomo yake, kutenda uovu, au kutenda mema, neno lo lote mtu atakalolitamka kwa kiapo pasipo kufikiri, na neno hilo likamfichamania; hapo atakapolijua, ndipo atakapokuwa na hatia katika mambo hayo mojawapo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Au, kama mtu akiapa kufanya chochote kile, chema au kibaya, kama wafanyavyo watu bila kufikiri, atakapojua atakuwa na hatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Au kama mtu ameapa kufanya kitu cho chote bila kufikiri kikiwa chema au kibaya, kwa vyo vyote mtu aweza kuapa kwa uzembe akiwa hana habari juu yake, hata kama hatambui juu yake kwa vyo vyote, atakapofahamu atakuwa na hatia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Au kama mtu ameapa kufanya kitu chochote bila kufikiri, kiwe chema au kibaya, kwa vyovyote mtu aweza kuapa bila kujali, hata akiwa hana habari, atakapofahamu atakuwa na hatia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
au, kama mtu akijiapisha, kwa kutamka haraka kwa midomo yake, kutenda uovu, au kutenda mema, neno lolote mtu atakalolitamka kwa kiapo pasipo kufikiri, bila kujua; hapo atakapolijua, ndipo atakapokuwa na hatia katika mambo hayo mojawapo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Au, kama mtu akiapa kufanya chochote kile, chema au kibaya, kama wafanyavyo watu bila kufikiri, atakapojua atakuwa na hatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Au hivi: mtu akiapa kwa upuzi wa midomo tu, kama ni kwamba kufanya mabaya au mema, kwa hayo yote, mtu anayoyaapa kwa kujipuza, asijue, ya kwamba amekosa, basi, hapo atakapoyajua atakuwa ni mwenye manza kwa kosa moja kama hilo kuliko mengine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
au, kama mtu akijiapisha, kwa kutamka haraka kwa midomo yake, kutenda uovu, au kutenda mema, neno lo lote mtu atakalolitamka kwa kiapo pasipo kufikiri, na neno hilo likamfichamania; hapo atakapolijua, ndipo atakapokuwa na hatia katika mambo hayo mojawapo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Au, kama mutu akiapa kufanya kitu chochote, chema au kibaya, kama vile watu wanavyofanya bila kufikiri, atakapojua atakuwa na kosa.