Leviticus 6:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu baada ya kubadilisha mavazi yake atayapeleka yale majivu nje ya kambi mahali palipo safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha atayavua mavazi haya na kuvaa mengine, naye achukue yale majivu nje ya kambi na kuyapeleka mahali palipo safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha atayavua mavazi yake, na kuvaa mavazi mengine, kisha atayachukua yale majivu kwenda nayo nje ya marago hata mahali safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu baada ya kubadilisha mavazi yake atayapeleka yale majivu nje ya kambi mahali palipo safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha atayavua mavazi haya na kuvaa mengine, atachukua yale majivu nje ya kambi na kupeleka mahali palipo safi kwa kawaida ya ibada.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha atayavua mavazi haya na kuvaa mengine, naye achukue yale majivu nje ya kambi na kuyapeleka mahali palipo safi kwa kawaida ya ibada.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha atayavua mavazi yake, na kuvaa mavazi mengine, kisha atayachukua yale majivu kwenda nayo nje ya kambi hata mahali safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu baada ya kubadilisha mavazi yake atayapeleka yale majivu nje ya kambi mahali palipo safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na ayavue mavazi yake na kuvaa mavazi mengine, ayaondoe yale majivu na kuyapeleka nje ya makambi mahali panapotakata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha atayavua mavazi yake, na kuvaa mavazi mengine, kisha atayachukua yale majivu kwenda nayo nje ya marago hata mahali safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazao wanaume wa Haruni ndio peke yao wanaoruhusiwa kula sehemu hiyo maana hiyo imetengwa siku zote kwa ajili yao kutoka sadaka Yawe anazotolewa kwa moto. Yeyote atakayezigusa atakuwa mutakatifu.