Leviticus 6:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ufuatao ni mwongozo wa ibada kuhusu sadaka ya nafaka. Wazawa wa Aroni ndio walio na uwezo wa kumtolea Mwenyezi-Mungu sadaka hiyo juu ya madhabahu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Haya ndio masharti ya sadaka ya nafaka: Wana wa Haruni wataileta mbele za Mwenyezi Mungu, mbele za madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na amri ya hiyo sadaka ya unga ni hii; wana wa Haruni wataisongeza mbele za Bwana, mbele ya madhabahu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ufuatao ni mwongozo wa ibada kuhusu sadaka ya nafaka. Wazawa wa Aroni ndio walio na uwezo wa kumtolea Mwenyezi-Mungu sadaka hiyo juu ya madhabahu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Haya ndiyo masharti ya sadaka ya nafaka: Wana wa Aroni wataileta mbele za BWANA, mbele za madhabahu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Haya ndiyo masharti ya sadaka ya nafaka: Wana wa Haruni wataileta mbele za bwana, mbele za madhabahu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na amri ya hiyo sadaka ya unga ni hii; wana wa Haruni wataisongeza mbele za BWANA, mbele ya madhabahu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ufuatao ni mwongozo wa ibada kuhusu sadaka ya nafaka. Wazawa wa Aroni ndio walio na uwezo wa kumtolea Mwenyezi-Mungu sadaka hiyo juu ya madhabahu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo haya ndiyo maongozi ya vilaji vya tambiko: wana wa Haroni na wavipeleke kumtolea Bwana hapo mbele ya meza ya kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na amri ya hiyo sadaka ya unga ni hii; wana wa Haruni wataisongeza mbele za BWANA, mbele ya madhabahu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unga huo utachanganywa na mafuta na kupikwa juu ya kikaango. Kisha utauleta ukiwa vipandevipande na kumutolea Yawe na harufu ya sadaka yake itamupendeza Mungu.