Leviticus 6:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tangu wakati wa kuwekwa wakfu kwa Aroni na wazawa wake wanapaswa kumtolea Mwenyezi-Mungu kilo moja ya unga laini kwa siku, nusu moja ya unga huo ataitoa asubuhi na nusu nyingine jioni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hii ni sadaka ambayo Haruni na wanawe wanapaswa kuleta kwa Mwenyezi Mungu siku atakapopakwa mafuta: sehemu ya kumi ya efa ya unga laini kama sadaka ya kawaida ya nafaka. Nusu yake ataitoa asubuhi na nusu nyingine jioni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matoleo ya Haruni na wanawe watakayomtolea Bwana, katika siku atakayotiwa mafuta, ni haya; sehemu ya kumi ya efa ya unga mwembamba kuwa sadaka ya unga daima, nusu yake asubuhi, na nusu yake jioni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tangu wakati wa kuwekwa wakfu kwa Aroni na wazawa wake wanapaswa kumtolea Mwenyezi-Mungu kilo moja ya unga laini kwa siku, nusu moja ya unga huo ataitoa asubuhi na nusu nyingine jioni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hii ni sadaka ambayo Aroni na wanawe wanapaswa kuleta kwa BWANA siku atakapotiwa mafuta: sehemu ya kumi ya efa ya unga laini kama sadaka ya kawaida ya nafaka, nusu yake ataitoa asubuhi na nusu nyingine jioni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hii ni sadaka ambayo Haruni na wanawe wanapaswa kuleta kwa bwana siku atakapotiwa mafuta: sehemu ya kumi ya efa ya unga laini kama sadaka ya kawaida ya nafaka. Nusu yake ataitoa asubuhi na nusu nyingine jioni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matoleo ya Haruni na wanawe watakayomtolea BWANA, katika siku atakayotiwa mafuta, ni haya; sehemu ya kumi ya efa ya unga mwembamba kuwa sadaka ya unga daima, nusu yake asubuhi, na nusu yake jioni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tangu wakati wa kuwekwa wakfu kwa Aroni na wazawa wake wanapaswa kumtolea Mwenyezi-Mungu kilo moja ya unga laini kwa siku, nusu moja ya unga huo ataitoa asubuhi na nusu nyingine jioni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ndilo toleo lao Haroni na wanawe, watakalomtolea Bwana siku hiyo, mmoja wao atakapopakwa mafuta: unga mwembamba pishi mbili na nusu na ziwe vilaji vyao vya tambiko vya kila siku nusu yao asubuhi, nusu yao nyingine jioni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matoleo ya Haruni na wanawe watakayomtolea BWANA, katika siku atakayotiwa mafuta, ni haya; sehemu ya kumi ya efa ya unga mwembamba kuwa sadaka ya unga daima, nusu yake asubuhi, na nusu yake jioni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chochote kitakachogusa nyama hiyo kitakuwa kitakatifu. Nguo yoyote ikidondokewa na damu ya sadaka hiyo, basi, nguo hiyo itafuliwa katika Pahali Patakatifu.