Leviticus 6:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sadaka yoyote ya nafaka iliyotolewa na kuhani itateketezwa yote; haitaliwa kamwe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila sadaka ya nafaka ya kuhani itateketezwa kabisa; kamwe haitaliwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kila sadaka ya unga ya kuhani itateketezwa kabisa; isiliwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sadaka yoyote ya nafaka iliyotolewa na kuhani itateketezwa yote; haitaliwa kamwe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila sadaka ya nafaka ya kuhani itateketezwa kabisa; kamwe haitaliwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila sadaka ya nafaka ya kuhani itateketezwa kabisa; kamwe haitaliwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kila sadaka ya unga ya kuhani itateketezwa kabisa; isiliwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sadaka yoyote ya nafaka iliyotolewa na kuhani itateketezwa yote; haitaliwa kamwe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani vilaji vya tambiko vyote, mtambikaji atakavyovitoa, sharti vichomwe moto vyote vizima, visiliwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kila sadaka ya unga ya kuhani itateketezwa kabisa; isiliwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama damu ya sadaka yoyote kwa ajili ya zambi imeletwa ndani ya hema la mukutano kwa kufanya ibada ya upatanisho katika Pahali Patakatifu, sadaka hiyo itateketezwa kwa moto.