Leviticus 6:26 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani anayetolea sadaka hiyo ndiye atakayeila. Italiwa mahali patakatifu, uani mwa hema la mkutano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani anayeitoa ndiye atakayeikula; itakuliwa katika mahali patakatifu, katika ua wa Hema la Kukutania.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo kuhani atakayeisongeza kwa ajili ya dhambi ndiye atakayeila; italiwa katika mahali patakatifu, katika ua wa hema ya kukutania.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani anayetolea sadaka hiyo ndiye atakayeila. Italiwa mahali patakatifu, uani mwa hema la mkutano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani anayeitoa ndiye atakayeila, italiwa mahali patakatifu, katika ua wa Hema la Kukutania.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani anayeitoa ndiye atakayeikula; itakuliwa katika mahali patakatifu, katika ua wa Hema la Kukutania.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo kuhani atakayeisongeza kwa ajili ya dhambi ndiye atakayeila; italiwa katika mahali patakatifu, katika ua wa hema ya kukutania.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani anayetolea sadaka hiyo ndiye atakayeila. Italiwa mahali patakatifu, uani mwa hema la mkutano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikaji atakayeitoa hiyo ng'ombe ya tambiko ya weuo ndiye atakayeila; sharti iliwe mahali patakatifu uani penye Hema la Mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)