Leviticus 6:27 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chochote kitakachogusa nyama hiyo kitakuwa kitakatifu; vazi lolote likidondokewa na damu ya sadaka hiyo, basi, vazi hilo litaoshewa mahali patakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chochote kitakachogusa nyama yoyote ya hiyo sadaka kitakuwa kitakatifu; na kama damu ya hiyo sadaka itadondokea juu ya vazi, lazima ulifulie mahali patakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila kitu kitakachoigusa nyama ya sadaka hiyo kitakuwa kitakatifu; tena itakapomwagika damu yake yo yote katika nguo yo yote, utaifua nguo hiyo iliyomwagiwa, katika mahali patakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chochote kitakachogusa nyama hiyo kitakuwa kitakatifu; vazi lolote likidondokewa na damu ya sadaka hiyo, basi, vazi hilo litaoshewa mahali patakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Cho chote kitakachogusa nyama yo yote ya hiyo sadaka kitakuwa kitakatifu na kama hiyo damu itadondokea juu ya vazi, lazima uifulie mahali patakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chochote kitakachogusa nyama yoyote ya hiyo sadaka kitakuwa kitakatifu, na kama hiyo damu itadondokea juu ya vazi, lazima uifulie mahali patakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila kitu kitakachoigusa nyama ya sadaka hiyo kitakuwa kitakatifu; tena itakapomwagika damu yake yeyote katika nguo yoyote, utaifua nguo hiyo iliyomwagiwa, katika mahali patakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chochote kitakachogusa nyama hiyo kitakuwa kitakatifu; vazi lolote likidondokewa na damu ya sadaka hiyo, basi, vazi hilo litaoshewa mahali patakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila atakayezigusa nyama zake sharti awe ametolewa kuwa mtakatifu. Tena kama iko damu yake iliyonyunyizika katika nguo, basi, hiyo nguo iliyonyunyizwa damu sharti aifue mahali patakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila kitu kitakachoigusa nyama ya sadaka hiyo kitakuwa kitakatifu; tena itakapomwagika damu yake yo yote katika nguo yo yote, utaifua nguo hiyo iliyomwagiwa, katika mahali patakatifu.