Leviticus 6:28 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sadaka hiyo ikichemshiwa katika vyombo vya udongo, vyombo hivyo vitavunjwa. Lakini ikiwa vyombo hivyo ni vya shaba, basi, vitasafishwa na kusuzwa kwa maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chungu cha udongo kitakachopikiwa nyama lazima kivunjwe, lakini kama imepikiwa kwenye chombo cha shaba, chombo hicho kitasuguliwa na kusuuzwa kwa maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hicho chombo cha udongo ambacho hiyo nyama ilipikwa ndani yake kitavunjwa; na kama ikipikwa katika chombo cha shaba, kitasuguliwa, na kuoshwa kwa maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sadaka hiyo ikichemshiwa katika vyombo vya udongo, vyombo hivyo vitavunjwa. Lakini ikiwa vyombo hivyo ni vya shaba, basi, vitasafishwa na kusuzwa kwa maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chungu cha udongo kitakachopikiwa nyama lazima kivunjwe, lakini kama imepikiwa kwenye chombo cha shaba, chombo hicho kitasuguliwa na kusuuzwa kwa maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chungu cha udongo kitakachopikiwa nyama lazima kivunjwe, lakini kama imepikiwa kwenye chombo cha shaba, chombo hicho kitasuguliwa na kusuuzwa kwa maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hicho chombo cha udongo ambacho hiyo nyama ilipikwa ndani yake kitavunjwa; na kama ikipikwa katika chombo cha shaba, kitasuguliwa, na kuoshwa kwa maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sadaka hiyo ikichemshiwa katika vyombo vya udongo, vyombo hivyo vitavunjwa. Lakini ikiwa vyombo hivyo ni vya shaba, basi, vitasafishwa na kusuzwa kwa maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nacho chungu, nyama zake zilimopikwa, sharti kivunjwe; kama ni cha shaba, sharti kisuguliwe na kuoshwa kwa maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)