Leviticus 6:29 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaoruhusiwa kuila ni wanaume wa ukoo wa makuhani peke yao kwa vile hiyo ni sadaka takatifu kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mwanaume katika jamaa ya kuhani aweza kula nyama hiyo; ni takatifu sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila mwana mume miongoni mwa makuhani atakula katika hiyo; ni takatifu sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaoruhusiwa kuila ni wanaume wa ukoo wa makuhani peke yao kwa vile hiyo ni sadaka takatifu kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mwanaume katika familia ya kuhani aweza kula nyama hiyo, ni takatifu sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mwanaume katika familia ya kuhani aweza kula nyama hiyo; ni takatifu sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila mwanamume miongoni mwa makuhani atakula katika hiyo; ni takatifu sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaoruhusiwa kuila ni wanaume wa ukoo wa makuhani peke yao kwa vile hiyo ni sadaka takatifu kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watambikaji wote walio wa kiume watazila nyama zake, nazo ni takatifu zenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila mwana mume miongoni mwa makuhani atakula katika hiyo; ni takatifu sana.