Leviticus 6:30 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama damu ya sadaka yoyote ya kuondoa dhambi imeletwa ndani ya hema la mkutano ili kufanyia ibada ya upatanisho katika mahali patakatifu, sadaka hiyo itateketezwa kwa moto.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kila sadaka ya dhambi ambayo damu yake imeletwa ndani ya Hema la Kukutania kufanya upatanisho katika Mahali Patakatifu kamwe haitaliwa; lazima iteketezwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala haitaliwa sadaka ya dhambi yo yote, ambayo damu yake yo yote ililetwa ndani ya hema ya kukutania, ili kufanya upatanisho katika mahali patakatifu; itachomwa moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama damu ya sadaka yoyote ya kuondoa dhambi imeletwa ndani ya hema la mkutano ili kufanyia ibada ya upatanisho katika mahali patakatifu, sadaka hiyo itateketezwa kwa moto.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kila sadaka ya dhambi ambayo damu yake imeletwa ndani ya Hema la Kukutania kufanya upatanisho katika Mahali Patakatifu kamwe haitaliwa; lazima iteketezwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kila sadaka ya dhambi ambayo damu yake imeletwa ndani ya Hema la Kukutania kufanya upatanisho katika Mahali Patakatifu kamwe haitaliwa; lazima iteketezwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala haitaliwa sadaka ya dhambi yoyote, ambayo damu yake yoyote ililetwa ndani ya hema ya kukutania, ili kufanya upatanisho katika mahali patakatifu; itateketezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama damu ya sadaka yoyote ya kuondoa dhambi imeletwa ndani ya hema la mkutano ili kufanyia ibada ya upatanisho katika mahali patakatifu, sadaka hiyo itateketezwa kwa moto.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ng'ombe za tambiko za weuo zote, ambazo damu zao nyingine ziliingizwa Hemani mwa Mkutano, zitumiwe za upozi mle Patakatifu, nyama zao zisiliwe, ila ziteketezwe kwa moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)