Leviticus 7:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ufuatao ni mwongozo wa ibada kuhusu sadaka ya kuondoa hatia. Sadaka hiyo ni takatifu kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Haya ndio masharti kwa ajili ya sadaka ya hatia, ambayo ni takatifu sana:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sheria ya hiyo sadaka ya hatia ni hii; ni takatifu sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ufuatao ni mwongozo wa ibada kuhusu sadaka ya kuondoa hatia. Sadaka hiyo ni takatifu kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Haya ndiyo masharti kwa ajili ya sadaka ya hatia, ambayo ni takatifu sana:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Haya ndiyo masharti kwa ajili ya sadaka ya hatia, ambayo ni takatifu sana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sheria ya hiyo sadaka ya hatia ni hii; ni takatifu sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ufuatao ni mwongozo wa ibada kuhusu sadaka ya kuondoa hatia. Sadaka hiyo ni takatifu kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo haya ndiyo maongozi ya ng'ombe za tambiko za upozi: ni takatifu zenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sheria ya hiyo sadaka ya hatia ni hii; ni takatifu sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ndiyo sheria ya ibada kuelekea sadaka kwa ajili ya kosa. Sadaka hiyo ni takatifu kabisa.