Leviticus 7:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila sadaka ya nafaka, iwe imechanganywa na mafuta au kavu, itakuwa ya wazawa wa Aroni, na wote wagawiwe kwa sawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nayo kila sadaka ya nafaka, iwe imechanganywa na mafuta au iko kavu, itakuwa ya wana wa Haruni, nayo itagawanywa sawa kati yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kila sadaka ya unga, kama umeandaliwa na mafuta, au kama ni mkavu, watautwaa wana wote wa Haruni kuutumia, kila mtu sawasawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila sadaka ya nafaka, iwe imechanganywa na mafuta au kavu, itakuwa ya wazawa wa Aroni, na wote wagawiwe kwa sawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kila sadaka ya nafaka, ikiwa imechanganywa na mafuta au kavu, itakuwa ya wana wa Aroni, nayo itagawanywa sawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nayo kila sadaka ya nafaka, iwe imechanganywa na mafuta au iko kavu, itakuwa ya wana wa Haruni, nayo itagawanywa sawa kati yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kila sadaka ya unga, kama umeandaliwa na mafuta, au kama ni mkavu, watautwaa wana wote wa Haruni kuutumia, kila mtu sawasawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila sadaka ya nafaka, iwe imechanganywa na mafuta au kavu, itakuwa ya wazawa wa Aroni, na wote wagawiwe kwa sawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo vilaji vyote vya tambiko vilivyochanganywa na mafuta navyo vilivyo vikavu vitakuwa vyao wana wote wa Haroni, wavitumie kila mtu na ndugu yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kila sadaka ya unga, kama umeandaliwa na mafuta, au kama ni mkavu, watautwaa wana wote wa Haruni kuutumia, kila mtu sawasawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila sadaka ya ngano, ikuwe imechanganywa na mafuta au kavu, itakuwa ya wazao wa Haruni na wote wagawanyiwe kwa usawa.