Leviticus 7:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ufuatao ni mwongozo wa ibada kuhusu sadaka za amani ambazo mtu aweza kumtolea Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Haya ndio masharti kwa ajili ya sadaka ya amani ambayo mtu aweza kuileta kwa Mwenyezi Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sheria ya matoleo ya sadaka za amani, atakazosongeza mtu kwa Bwana, ni hii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ufuatao ni mwongozo wa ibada kuhusu sadaka za amani ambazo mtu aweza kumtolea Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Haya ndiyo masharti kwa ajili ya sadaka ya amani ambayo mtu aweza kuileta kwa BWANA:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Haya ndiyo masharti kwa ajili ya sadaka ya amani ambayo mtu aweza kuileta kwa bwana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sheria ya matoleo ya sadaka za amani, atakazosongeza mtu kwa BWANA, ni hii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ufuatao ni mwongozo wa ibada kuhusu sadaka za amani ambazo mtu aweza kumtolea Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo maongozi ya ng'ombe za tambiko za shukrani, mtu atakazomtolea Bwana:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sheria ya matoleo ya sadaka za amani, atakazosongeza mtu kwa BWANA, ni hii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ndiyo sheria ya ibada kuelekea sadaka za amani ambazo mutu anaweza kumutolea Yawe.