Leviticus 7:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pamoja na sadaka hiyo yake ya amani ya kumshukuru Mungu, ataleta maandazi yaliyotiwa chachu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pamoja na sadaka yake ya amani ya shukrani, ataleta sadaka ya maandazi yaliyotengenezwa kwa chachu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ataleta matoleo yake, pamoja na mikate iliyotiwa chachu, na pamoja na sadaka zake za amani, kwa ajili ya shukrani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pamoja na sadaka hiyo yake ya amani ya kumshukuru Mungu, ataleta maandazi yaliyotiwa chachu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pamoja na sadaka hii ya amani ya shukrani ataleta sadaka ya maandazi yaliyotengenezwa kwa chachu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pamoja na sadaka hii ya amani ya shukrani ataleta sadaka ya maandazi yaliyotengenezwa kwa chachu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ataleta matoleo yake, pamoja na mikate iliyotiwa chachu, na pamoja na sadaka zake za amani, kwa ajili ya shukrani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pamoja na sadaka hiyo yake ya amani ya kumshukuru Mungu, ataleta maandazi yaliyotiwa chachu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili toleo lake alipeleke pamoja na mikate ilivyochachwa na pamoja na ng'ombe yake ya tambiko ya shukrani, atakayoitoa kuwa ya sifa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ataleta matoleo yake, pamoja na mikate iliyotiwa chachu, na pamoja na sadaka zake za amani, kwa ajili ya shukrani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pamoja na sadaka yake hiyo ya amani ya kumushukuru Mungu, ataleta maandazi yaliyotiwa chachu.