Leviticus 7:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutokana na maandazi hayo, atamtolea Mwenyezi-Mungu andazi moja kutoka kila sadaka; maandazi hayo yatakuwa yake kuhani anayeirashia madhabahu damu ya sadaka za amani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ataleta moja ya kila aina ya andazi kuwa sadaka, matoleo kwa Mwenyezi Mungu; hii ni ya kuhani anayenyunyiza damu ya sadaka ya amani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika hayo atasongeza kimoja katika kila toleo kiwe sadaka ya kuinuliwa kwa Bwana; itakuwa ni ya kuhani atakayeinyunyiza hiyo damu ya sadaka za amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutokana na maandazi hayo, atamtolea Mwenyezi-Mungu andazi moja kutoka kila sadaka; maandazi hayo yatakuwa yake kuhani anayeirashia madhabahu damu ya sadaka za amani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ataleta moja ya kila aina ya andazi kama sadaka, matoleo kwa BWANA; hii ni ya kuhani anayenyunyiza damu ya sadaka ya amani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ataleta moja ya kila aina ya andazi kama sadaka, matoleo kwa bwana; hii ni ya kuhani anayenyunyiza damu ya sadaka ya amani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika hayo atasongeza kimoja katika kila toleo kiwe sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA; itakuwa ni ya kuhani atakayeinyunyiza hiyo damu ya sadaka za amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutokana na maandazi hayo, atamtolea Mwenyezi-Mungu andazi moja kutoka kila sadaka; maandazi hayo yatakuwa yake kuhani anayeirashia madhabahu damu ya sadaka za amani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika hayo matoleo yote na atoe moja la kumnyanyulia Bwana; nalo ni lake mtambikaji yule atakayeinyunyiza damu ya ng'ombe ya tambiko ya shukrani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika hayo atasongeza kimoja katika kila toleo kiwe sadaka ya kuinuliwa kwa BWANA; itakuwa ni ya kuhani atakayeinyunyiza hiyo damu ya sadaka za amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutokana na maandazi hayo, atamutolea Yawe andazi moja kutoka kila sadaka. Maandazi hayo yatakuwa ya kuhani anayenyunyizia mazabahu damu ya sadaka za amani.