Leviticus 7:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nyama yoyote ya sadaka hiyo inayobaki hadi siku ya tatu itateketezwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyama yoyote ya sadaka inayobaki hadi siku ya tatu lazima iteketezwe kwa moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini hicho kitakachosalia, katika hizo nyama za sadaka, hata siku ya tatu kitachomwa moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nyama yoyote ya sadaka hiyo inayobaki hadi siku ya tatu itateketezwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyama yo yote ya sadaka inayobaki mpaka siku ya tatu lazima iteketezwe kwa moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyama yoyote ya sadaka inayobaki mpaka siku ya tatu lazima iteketezwe kwa moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini hicho kitakachosalia, katika hizo nyama za sadaka, hata siku ya tatu kitachomwa moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nyama yoyote ya sadaka hiyo inayobaki hadi siku ya tatu itateketezwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nyama za hiyo ng'ombe ya tambiko zitakazosazwa mpaka siku ya tatu sharti ziteketezwe kwa moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini hicho kitakachosalia, katika hizo nyama za sadaka, hata siku ya tatu kitachomwa moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nyama yoyote ya sadaka hiyo inayobaki mpaka kwa siku ya tatu itateketezwa.