Leviticus 7:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nyama yoyote inayogusa kitu najisi isiliwe. Nyama hiyo itateketezwa kwa moto. Wote walio safi wanaweza kula nyama
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Nyama inayogusa chochote kilicho najisi kamwe haitaliwa; lazima iteketezwe kwa moto. Kuhusu nyama nyingine, mtu yeyote aliyetakaswa anaweza kuila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena nyama itakayogusa kitu kilicho najisi haitaliwa; itachomwa moto. Na katika hiyo nyama nyingine, kila mtu aliye safi ana ruhusa kuila;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nyama yoyote inayogusa kitu najisi isiliwe. Nyama hiyo itateketezwa kwa moto. Wote walio safi wanaweza kula nyama
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Nyama ile inayogusa cho chote ambacho ni najisi kwa kawaida ya ibada kamwe haitaliwa, ni lazima iteketezwe kwa moto. Kuhusu nyama nyingine, mtu ye yote aliye safi kwa kawaida ya ibada anaweza kuila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Nyama ile inayogusa chochote ambacho ni najisi kwa kawaida ya ibada kamwe haitaliwa, ni lazima iteketezwe kwa moto. Kuhusu nyama nyingine, mtu yeyote aliye safi kwa kawaida ya ibada anaweza kuila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena nyama itakayogusa kitu kilicho najisi haitaliwa; itachomwa moto. Na katika hiyo nyama nyingine, kila mtu aliye safi ana ruhusa kuila;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nyama yoyote inayogusa kitu najisi isiliwe. Nyama hiyo itateketezwa kwa moto. Wote walio safi wanaweza kula nyama
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo nyama zilizogusana nacho cho chote kilicho kichafu zisiliwe, ila ziteketezwe kwa moto. Nyama nyingine za tambiko kila atakataye atazila hizo nyama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena nyama itakayogusa kitu kilicho najisi haitaliwa; itachomwa moto. Na katika hiyo nyama nyingine, kila mtu aliye safi ana ruhusa kuila;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyama yoyote inayogusa kitu kinachohesabiwa kuwa kichafu isikuliwe. Nyama hiyo itateketezwa kwa moto. Wote wanaohesabiwa kuwa safi wanaweza kula nyama