Leviticus 7:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waambie Waisraeli hivi: Msile mafuta ya ng'ombe au ya kondoo au ya mbuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waambie Waisraeli: ‘Msile mafuta yoyote ya ng’ombe, kondoo wala mbuzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Msile mafuta yo yote, ya ng'ombe, wala ya kondoo, wala ya mbuzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waambie Waisraeli hivi: Msile mafuta ya ng'ombe au ya kondoo au ya mbuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waambie Waisraeli: ‘Msile mafuta yo yote ya ng'ombe, kondoo wala mbuzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waambie Waisraeli: ‘Msile mafuta yoyote ya ng’ombe, kondoo wala mbuzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Msile mafuta yoyote, ya ng'ombe, wala ya kondoo, wala ya mbuzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waambie Waisraeli hivi: Msile mafuta ya ng'ombe au ya kondoo au ya mbuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waambie wana wa Isiraeli kwamba: Mafuta yote ya ng'ombe na ya kondoo na ya mbuzi msiyale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Msile mafuta yo yote, ya ng’ombe, wala ya kondoo, wala ya mbuzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie Waisraeli hivi: Musikule mafuta ya ngombe au ya kondoo au ya mbuzi.