Leviticus 7:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu yeyote akila mafuta ya mnyama aliyetolewa kwa Mwenyezi-Mungu kwa moto, atatengwa na watu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu yeyote alaye mafuta ya mnyama ambaye ametolewa sadaka kwa Mwenyezi Mungu kwa moto ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani huyo mtu atakayekula mafuta ya mnyama, ambaye ni katika wanyama ambao watu husongeza sadaka kwa Bwana kwa moto, mtu huyo atakayekula mafuta hayo atakatiliwa mbali na watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu yeyote akila mafuta ya mnyama aliyetolewa kwa Mwenyezi-Mungu kwa moto, atatengwa na watu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu ye yote alaye mafuta ya mnyama ambaye ametolewa sadaka kwa BWANA kwa moto ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu yeyote alaye mafuta ya mnyama ambaye ametolewa sadaka kwa bwana kwa moto ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani huyo mtu atakayekula mafuta ya mnyama, ambaye ni katika wanyama ambao watu husongeza sadaka kwa BWANA kwa moto, mtu huyo atakayekula mafuta hayo atakatiliwa mbali na watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu yeyote akila mafuta ya mnyama aliyetolewa kwa Mwenyezi-Mungu kwa moto, atatengwa na watu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kila atakayekula mafuta ya nyama, watu wanayomtolea Bwana kuchomwa motoni, basi, roho yake huyo mtu aliyeyala na ing'olewe, atoweke kwenye watu wa kabila lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani huyo mtu atakayekula mafuta ya mnyama, ambaye ni katika wanyama ambao watu husongeza sadaka kwa BWANA kwa moto, mtu huyo atakayekula mafuta hayo atakatiliwa mbali na watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yeyote akikula mafuta ya nyama aliyetolewa kwa Yawe kwa moto, atatengwa na watu wake.