Leviticus 7:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, kamwe msile damu yoyote ile, iwe ya ndege au ya mnyama mahali popote mnapoishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Popote mtakapoishi, kamwe msile damu ya ndege yeyote wala ya mnyama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena msiile damu yo yote, ama ya ndege, ama ya mnyama, katika nyumba zenu zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, kamwe msile damu yoyote ile, iwe ya ndege au ya mnyama mahali popote mnapoishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Po pote mtakapoishi, kamwe msinywe damu ya ndege ye yote wala ya mnyama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Popote mtakapoishi, kamwe msinywe damu ya ndege yeyote wala ya mnyama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena msiile damu yoyote, ama ya ndege, ama ya mnyama, katika nyumba zenu zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, kamwe msile damu yoyote ile, iwe ya ndege au ya mnyama mahali popote mnapoishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo damu zote pia msizile mahali po pote, mtakapokaa, wala za ndege wala za nyuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena msiile damu yo yote, ama ya ndege, ama ya mnyama, katika nyumba zenu zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, musikule damu yoyote, ikuwe ya ndege au ya nyama pahali popote munapoishi.