Leviticus 7:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu yeyote akila damu yoyote, atatengwa na watu wake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu yeyote atakayekula damu lazima akatiliwe mbali na watu wake.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu ye yote alaye damu, mtu huyo atakatiliwa mbali na watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu yeyote akila damu yoyote, atatengwa na watu wake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa mtu ye yote atakunywa damu, mtu huyo lazima akatiliwe mbali na watu wake.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa mtu yeyote atakunywa damu, mtu huyo lazima akatiliwe mbali na watu wake.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu yeyote alaye damu, mtu huyo atatupiliwa mbali na watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu yeyote akila damu yoyote, atatengwa na watu wake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mtu atakayekula damu zo zote roho yake na ing'olewe, atoweke kwenye watu wa kabila lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu ye yote alaye damu, mtu huyo atakatiliwa mbali na watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yeyote akikula damu yoyote, atatengwa na watu wake.