Leviticus 7:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mafuta yake yote: Mafuta ya mkia na yale yanayofunika matumbo yatatolewa na kuteketezwa
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mafuta yake yote yatatolewa sadaka: mafuta ya mkia, na mafuta yale yanayofunika sehemu za ndani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika sadaka hiyo atasongeza mafuta yake yote; yaani, mkia wake wenye mafuta, na mafuta yafunikayo matumbo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mafuta yake yote: mafuta ya mkia na yale yanayofunika matumbo yatatolewa na kuteketezwa
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mafuta yake yote yatatolewa sadaka: mafuta ya mkia na mafuta yale yanayofunika sehemu za ndani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mafuta yake yote yatatolewa sadaka: mafuta ya mkia na mafuta yale yanayofunika sehemu za ndani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika sadaka hiyo atasongeza mafuta yake yote; yaani, mkia wake wenye mafuta, na mafuta yafunikayo matumbo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mafuta yake yote: Mafuta ya mkia na yale yanayofunika matumbo yatatolewa na kuteketezwa
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo mafuta yote ayatoe humo, ayapeleke: mkia na mafuta yanayoufunika utumbo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika sadaka hiyo atasongeza mafuta yake yote; yaani, mkia wake wenye mafuta, na mafuta yafunikayo matumbo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mafuta yake yote: mafuta ya mukia na yale yanayofunika matumbotumbo yatatolewa na kuteketezwa