Leviticus 7:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mguu huo utakuwa mali ya kuhani aliye mzawa wa Aroni anayetoa damu ya sadaka za amani na mafuta yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwana wa Haruni atoaye damu na mafuta ya mnyama wa sadaka ya amani ndiye atakayepewa paja hilo la kulia kuwa fungu lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika wana wa Haruni, huyo atakayeisongeza damu ya sadaka za amani, na mafuta yake, yeye atapata mguu wa nyuma wa upande wa kuume kuwa sehemu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mguu huo utakuwa mali ya kuhani aliye mzawa wa Aroni anayetoa damu ya sadaka za amani na mafuta yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwana wa Aroni atoaye damu na mafuta ya sadaka ya amani, ndiye atakayepewa paja hilo la kulia kuwa fungu lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwana wa Haruni atoaye damu na mafuta ya sadaka ya amani ndiye atakayepewa paja hilo la kulia kuwa fungu lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kati ya wana wa Haruni, huyo atakayeisongeza damu ya sadaka za amani, na mafuta yake, yeye atapata mguu wa nyuma wa upande wa kulia kuwa sehemu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mguu huo utakuwa mali ya kuhani aliye mzawa wa Aroni anayetoa damu ya sadaka za amani na mafuta yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakayetoa damu za ng'ombe za tambiko za shukrani pamoja na mafuta yao miongoni mwa wana wa Haroni, basi, lile paja la kuume ni fungu lake yeye, atakalolipata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika wana wa Haruni, huyo atakayeisongeza damu ya sadaka za amani, na mafuta yake, yeye atapata mguu wa nyuma wa upande wa kuume kuwa sehemu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muguu huo utakuwa mali ya kuhani anayekuwa muzao wa Haruni anayetolea damu ya sadaka za amani na mafuta yake.