Leviticus 7:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiyo ndiyo sehemu iliyotengwa kwa ajili ya Aroni na wanawe kutoka katika sadaka anazotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto, tangu siku walipotawazwa kuwa makuhani wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ndiyo sehemu ya sadaka zilizotolewa kwa Mwenyezi Mungu kwa moto, ambazo zilitengwa kwa ajili ya Haruni na wanawe siku ile walipowekwa wakfu ili kumtumikia Mwenyezi Mungu katika kazi ya ukuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hii ndiyo sehemu ya Haruni, na sehemu ya wanawe, katika kutiwa mafuta kwao, katika hizo dhabihu zisongezwazo kwa Bwana kwa njia ya moto, siku hiyo aliyowaweka ili wamtumikie Bwana katika kazi ya ukuhani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiyo ndiyo sehemu iliyotengwa kwa ajili ya Aroni na wanawe kutoka katika sadaka anazotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto, tangu siku walipotawazwa kuwa makuhani wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo sehemu ya sadaka zilizotolewa kwa BWANA kwa moto ambazo zilitengwa kwa ajili ya Aroni na wanawe siku ile walipowekwa wakfu kumtumikia BWANA katika kazi ya ukuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo sehemu ya sadaka zilizotolewa kwa bwana kwa moto, ambazo zilitengwa kwa ajili ya Haruni na wanawe siku ile walipowekwa wakfu ili kumtumikia bwana katika kazi ya ukuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hii ndiyo sehemu ya Haruni, na sehemu ya wanawe, katika kutiwa mafuta kwao, katika hizo dhabihu zisongezwazo kwa BWANA kwa njia ya moto, siku hiyo aliyowaweka ili wamtumikie BWANA katika kazi ya ukuhani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiyo ndiyo sehemu iliyotengwa kwa ajili ya Aroni na wanawe kutoka katika sadaka anazotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto, tangu siku walipotawazwa kuwa makuhani wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo, Haroni na wanawe watakayoyapata kwenye mioto ya Bwana kwa hivyo, walivyopakwa mafuta; Bwana aliwagawia haya siku ile, alipowatoa kuwa watambikaji wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hii ndiyo sehemu ya Haruni, na sehemu ya wanawe, katika kutiwa mafuta kwao, katika hizo dhabihu zisongezwazo kwa BWANA kwa njia ya moto, siku hiyo aliyowaweka ili wamtumikie BWANA katika kazi ya ukuhani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiyo ndiyo sehemu iliyotengwa kwa ajili ya Haruni na wana wake kutoka katika sadaka Yawe anazotolewa kwa moto, tangu siku walipowekwa kuwa makuhani wa Yawe.