Leviticus 7:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipowekwa wakfu kwa kupakwa mafuta, Mwenyezi-Mungu aliamuru Waisraeli wawape sehemu hiyo ya sadaka; hiyo itakuwa daima haki yao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ile walipopakwa mafuta, Mwenyezi Mungu aliagiza kwamba Waisraeli wawape hili kama fungu lao la milele kwa vizazi vijavyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
sehemu ambayo Bwana aliagiza wapewe na wana wa Israeli, siku hiyo aliyowatia mafuta. Ni haki yao ya milele katika vizazi vyao vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipowekwa wakfu kwa kupakwa mafuta, Mwenyezi-Mungu aliamuru Waisraeli wawape sehemu hiyo ya sadaka; hiyo itakuwa daima haki yao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ile walipotiwa mafuta, BWANA aliagiza kwamba Waisraeli wawape hili kama fungu lao la kawaida kwa vizazi vijavyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ile walipotiwa mafuta, bwana aliagiza kwamba Waisraeli wawape hili kama fungu lao la kawaida kwa vizazi vijavyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
sehemu ambayo BWANA aliagiza wapewe na wana wa Israeli, siku hiyo aliyowatia mafuta. Ni haki yao ya milele katika vizazi vyao vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipowekwa wakfu kwa kupakwa mafuta, Mwenyezi-Mungu aliamuru Waisraeli wawape sehemu hiyo ya sadaka; hiyo itakuwa daima haki yao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ile, Bwana alipowapaka mafuta, aliwaagiza wana wa Isiraeli, wawape haya, nayo ni haki ya kale na kale ya vizazi vyao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
sehemu ambayo BWANA aliagiza wapewe na wana wa Israeli, siku hiyo aliyowatia mafuta. Ni haki yao ya milele katika vizazi vyao vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipotakaswa kwa kupakwa mafuta, Yawe aliamuru Waisraeli wawape sehemu hiyo ya sadaka; hiyo itakuwa siku zote haki yao.