Leviticus 7:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alimpa Mose amri hizi mlimani Sinai siku ile alipowaamuru Waisraeli wamletee sadaka zao, kule jangwani Sinai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambayo Mwenyezi Mungu alimpa Musa juu ya Mlima Sinai siku ile alipowaagiza Waisraeli walete sadaka zao kwa Mwenyezi Mungu, katika Jangwa la Sinai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambazo Bwana alimwagiza Musa katika mlima wa Sinai, siku hiyo aliyowaagiza wana wa Israeli wamtolee Bwana matoleo yao, huko katika jangwa la Sinai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alimpa Mose amri hizi mlimani Sinai siku ile alipowaamuru Waisraeli wamletee sadaka zao, kule jangwani Sinai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambayo BWANA alimpa Mose juu ya mlima Sinai siku ile alipowaagiza Waisraeli walete sadaka zao kwa BWANA, katika Jangwa la Sinai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambayo bwana alimpa Musa juu ya Mlima Sinai siku ile alipowaagiza Waisraeli walete sadaka zao kwa bwana, katika Jangwa la Sinai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambazo BWANA alimwagiza Musa katika mlima wa Sinai, siku hiyo aliyowaagiza wana wa Israeli wamtolee BWANA matoleo yao, huko katika jangwa la Sinai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alimpa Mose amri hizi mlimani Sinai siku ile alipowaamuru Waisraeli wamletee sadaka zao, kule jangwani Sinai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndiyo, Bwana aliyomwagiza Mose mlimani kwa Sinai siku ile, alipowaagiza wana wa Isiraeli kumtolea Bwana matoleo yao katika nyika ya Sinai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambazo BWANA alimwagiza Musa katika mlima wa Sinai, siku hiyo aliyowaagiza wana wa Israeli wamtolee BWANA matoleo yao, huko katika jangwa la Sinai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akamupa Musa amri hizi juu ya mulima Sinai siku ile alipowaamuru Waisraeli wamuletee sadaka zao, kule katika jangwa la Sinai.