Leviticus 7:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu kama sadaka anayotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto. Hiyo ni sadaka ya kuondoa hatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani atayateketeza juu ya madhabahu kuwa sadaka iliyotolewa kwa Mwenyezi Mungu kwa moto. Hii ni sadaka ya hatia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuhani atayateketeza juu ya madhabahu, kuwa dhabihu kwa Bwana kwa njia ya moto; ni sadaka ya hatia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu kama sadaka anayotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto. Hiyo ni sadaka ya kuondoa hatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani atayateketeza juu ya madhabahu kuwa sadaka iliyotolewa kwa BWANA kwa moto. Hii ni sadaka ya hatia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani atayateketeza juu ya madhabahu kuwa sadaka iliyotolewa kwa bwana kwa moto. Hii ni sadaka ya hatia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kuhani atayateketeza juu ya madhabahu, kuwa dhabihu kwa BWANA kwa njia ya moto; ni sadaka ya hatia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu kama sadaka anayotolewa Mwenyezi-Mungu kwa moto. Hiyo ni sadaka ya kuondoa hatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtambikaji na ayachome moto mezani pa kutambikia kuwa moto wa Bwana. Hii ndiyo ng'ombe ya tambiko ya upozi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuhani atayateketeza juu ya madhabahu, kuwa dhabihu kwa BWANA kwa njia ya moto; ni sadaka ya hatia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani ataviteketeza juu ya mazabahu kama vile sadaka Yawe anayotolewa kwa moto. Hiyo ni sadaka kwa ajili ya kosa.