Leviticus 7:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani anayetoa sadaka ya kuteketezwa ya mtu yeyote, atachukua ngozi ya mnyama aliyetolewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani anayetoa sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya mtu yeyote anaweza kuichukua ngozi ya mnyama yule aliyetolewa iwe yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kuhani atakayesongeza sadaka ya kuteketezwa ya mtu awaye yote, huyo kuhani atatwaa awe nayo ngozi ya huyo mnyama wa sadaka ya kuteketezwa aliyemsongeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani anayetoa sadaka ya kuteketezwa ya mtu yeyote, atachukua ngozi ya mnyama aliyetolewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani anayetoa sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya ye yote anaweza kuichukua ile ngozi ya mnyama yule aliyetolewa iwe yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani anayetoa sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya mtu yeyote anaweza kuichukua ngozi ya mnyama yule aliyetolewa iwe yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kuhani atakayesongeza sadaka ya kuteketezwa ya mtu awaye yote, huyo kuhani atatwaa awe nayo ngozi ya huyo mnyama wa sadaka ya kuteketezwa aliyemsongeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani anayetoa sadaka ya kuteketezwa ya mtu yeyote, atachukua ngozi ya mnyama aliyetolewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mtambikaji akipeleka ng'ombe ya tambiko ya mtu ya kuteketezwa nzima, ngozi ya hiyo ng'ombe ya tambiko ya kuteketezwa nzima itakuwa yake mtambikaji yule aliyeipeleka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kuhani atakayesongeza sadaka ya kuteketezwa ya mtu awaye yote, huyo kuhani atatwaa awe nayo ngozi ya huyo mnyama wa sadaka ya kuteketezwa aliyemsongeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani anayetolea sadaka ya kuteketezwa ya mutu yeyote, atatwaa ngozi ya nyama aliyetolewa.