Leviticus 8:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mose akachukua mafuta ya kupaka, akaipaka ile maskani na vitu vyote vilivyokuwa ndani yake akaviweka wakfu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa akachukua mafuta ya upako, na kuipaka maskani ya Mungu na kila kitu kilichokuwamo; hivyo akaviweka wakfu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Musa akatwaa hayo mafuta matakatifu ya kutia, akatia mafuta maskani, na vyote vilivyokuwamo, na kuvitakasa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Mose akachukua mafuta ya kupaka, akaipaka ile maskani na vitu vyote vilivyokuwa ndani yake akaviweka wakfu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Mose akachukua mafuta ya upako na kuipaka maskani na kila kitu kilichokuwamo ndani yake, kisha akaviweka wakfu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Musa akachukua mafuta ya upako na kuipaka maskani na kila kitu kilichokuwamo ndani yake, kisha akaviweka wakfu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Musa akatwaa hayo mafuta matakatifu ya kutia, akatia mafuta maskani, na vyote vilivyokuwamo, na kuvitakasa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Mose akachukua mafuta ya kupaka, akaipaka ile maskani na vitu vyote vilivyokuwa ndani yake akaviweka wakfu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akayatwaa yale mafuta ya kupaka, akalipaka lile Kao navyo vyote vilivyomo; ndivyo, alivyovieua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Musa akatwaa hayo mafuta matakatifu ya kutia, akatia mafuta maskani, na vyote vilivyokuwamo, na kuvitakasa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Musa akatwaa mafuta ya kupakaa, akaipakaa ile hema na vitu vyote vilivyokuwa ndani yake akavitakasa.