Leviticus 8:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alinyunyiza sehemu ya mafuta hayo juu ya madhabahu mara saba, akaipaka mafuta na vyombo vyake vyote, birika na tako lake, kuviweka wakfu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akanyunyiza sehemu ya mafuta juu ya madhabahu mara saba, akaipaka madhabahu mafuta na vyombo vyake vyote, pamoja na sinia na kinara chake, ili kuviweka wakfu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akanyunyiza hayo mafuta juu ya madhabahu mara saba, na kuitia mafuta madhabahu na vyombo vyake vyote, na birika na tako lake, ili kuvitakasa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alinyunyiza sehemu ya mafuta hayo juu ya madhabahu mara saba, akaipaka mafuta na vyombo vyake vyote, birika na tako lake, kuviweka wakfu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akanyunyiza baadhi ya mafuta juu ya madhabahu mara saba, akiipaka madhabahu mafuta na vyombo vyake vyote pamoja na sinia na kinara chake, ili kuviweka wakfu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akanyunyiza baadhi ya mafuta juu ya madhabahu mara saba, akaipaka madhabahu mafuta na vyombo vyake vyote pamoja na sinia na kinara chake, ili kuviweka wakfu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akanyunyiza hayo mafuta juu ya madhabahu mara saba, na kuitia mafuta madhabahu na vyombo vyake vyote, na birika na kitako chake, ili kuvitakasa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alinyunyiza sehemu ya mafuta hayo juu ya madhabahu mara saba, akaipaka mafuta na vyombo vyake vyote, birika na tako lake, kuviweka wakfu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo meza ya kutambikia akainyunyizia mafuta mara saba, akaipaka mafuta hiyo meza ya kutambikia na vyombo vyake vyote, hata birika na wekeo lake, avieue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akanyunyiza hayo mafuta juu ya madhabahu mara saba, na kuitia mafuta madhabahu na vyombo vyake vyote, na birika na tako lake, ili kuvitakasa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akanyunyiza sehemu ya mafuta hayo juu ya mazabahu mara saba, akaipakaa mafuta na vyombo vyake vyote, birika na tako lake kwa kuvitakasa.