Leviticus 8:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilevile Mose akampaka Aroni mafuta kichwani ili kumweka wakfu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamimina sehemu ya hayo mafuta ya upako kichwani mwa Haruni, akampaka mafuta ili kumweka wakfu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akamimina mafuta hayo ya kutia kichwani mwake Haruni, na kumtia mafuta, ili amtakase.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilevile Mose akampaka Aroni mafuta kichwani ili kumweka wakfu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamimina sehemu ya hayo mafuta ya upako kichwani mwa Aroni, akamtia mafuta ili kumweka wakfu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamimina sehemu ya hayo mafuta ya upako kichwani mwa Haruni, akamtia mafuta ili kumweka wakfu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akamimina mafuta hayo ya kutia kichwani mwake Haruni, na kumtia mafuta, ili amtakase.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilevile Mose akampaka Aroni mafuta kichwani ili kumweka wakfu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akammiminia Haroni kichwani mafuta hayo ya kupakwa, akamweua kwa kumpaka mafuta hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akamimina mafuta hayo ya kutia kichwani mwake Haruni, na kumtia mafuta, ili amtakase.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile Musa akamupakaa Haruni mafuta juu ya kichwa kwa kumutakasa.