Leviticus 8:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akamchinja na damu ya kondoo huyo akairashia madhabahu pande zake zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Musa akamchinja yule kondoo dume na kunyunyiza damu yake pande zote za madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akamchinja; na Musa akainyunyiza damu yake katika madhabahu pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akamchinja na damu ya kondoo huyo akairashia madhabahu pande zake zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Mose akamchinja yule kondoo dume na kunyunyiza damu yake pande zote za ile madhabahu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Musa akamchinja yule kondoo dume na kunyunyiza damu yake pande zote za madhabahu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akamchinja; na Musa akainyunyiza damu yake katika madhabahu pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akamchinja na damu ya kondoo huyo akairashia madhabahu pande zake zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akamchinja, nayo damu akainyunyiza pande zote juu ya meza ya kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akamchinja; na Musa akainyunyiza damu yake katika madhabahu pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akamuchinja na damu ya kondoo huyo akainyunyizia mazabahu pande zake zote.