Leviticus 8:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimkata huyo kondoo vipandevipande, akaviteketeza pamoja na kichwa chake na mafuta yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akamkata yule kondoo dume vipande vipande na kukiteketeza kichwa, vile vipande na yale mafuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akamkata kondoo vipande vyake; na Musa akateketeza kichwa, na vile vipande, na mafuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimkata huyo kondoo vipandevipande, akaviteketeza pamoja na kichwa chake na mafuta yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamkata yule kondoo dume vipande vipande na kukiteketeza kichwa, vile vipande na yale mafuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akamkata yule kondoo dume vipande vipande na kukiteketeza kichwa, vile vipande na yale mafuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akamkata kondoo vipande vipande; na Musa akateketeza kichwa, na vile vipande, na mafuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimkata huyo kondoo vipandevipande, akaviteketeza pamoja na kichwa chake na mafuta yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha huyu dume la kondoo akachanguliwa vipande, naye Mose akamchoma moto, kichwa na vile vipande na mafuta;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akamkata kondoo vipande vyake; na Musa akateketeza kichwa, na vile vipande, na mafuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akakata huyo kondoo vipandevipande, akaviteketeza pamoja na kichwa chake na mafuta yake.