Leviticus 8:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akamleta kondoo dume mwingine, kwa ajili ya kuweka wakfu. Aroni na wanawe wakaweka mikono yao juu ya kichwa cha kondoo huyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa akamleta yule kondoo dume wa pili, ndiye kondoo dume kwa ajili ya kuwaweka wakfu, naye Haruni na wanawe wakaweka mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akamsongeza kondoo mume wa pili, huyo kondoo wa kuwaweka wakfu; na Haruni na wanawe wakaweka mikono yao kichwani mwa huyo kondoo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akamleta kondoo dume mwingine, kwa ajili ya kuweka wakfu. Aroni na wanawe wakaweka mikono yao juu ya kichwa cha kondoo huyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akaleta kondoo dume mwingine, ndiye kondoo dume kwa ajili ya kuwaweka wakfu, Aroni na wanawe wakaweka mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akaleta kondoo dume mwingine, ndiye kondoo dume kwa ajili ya kuwaweka wakfu, naye Haruni na wanawe wakaweka mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akamsongeza kondoo dume wa pili, huyo kondoo wa kuwaweka wakfu; na Haruni na wanawe wakaweka mikono yao kichwani mwa huyo kondoo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akamleta kondoo dume mwingine, kwa ajili ya kuweka wakfu. Aroni na wanawe wakaweka mikono yao juu ya kichwa cha kondoo huyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaagiza kuleta dume la kondoo wa pili aliye ng'ombe ya tambiko ya kujaza gao; naye Haroni na wanawe wakaibandika mikono yao kichwani pake huyo dume la kondoo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akamsongeza kondoo mume wa pili, huyo kondoo wa kuwaweka wakfu; na Haruni na wanawe wakaweka mikono yao kichwani mwa huyo kondoo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akaleta kondoo dume mwingine, kwa ajili ya utakaso. Haruni na wana wake wakaweka mikono yao juu ya kichwa cha kondoo huyo.