Leviticus 8:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyama yoyote au mkate wowote utakaosalia ni lazima kuteketezwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mteketeze nyama na mikate iliyobaki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nacho kitakachosalia katika hiyo nyama na mikate mtakichoma moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyama yoyote au mkate wowote utakaosalia ni lazima kuteketezwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha teketeza nyama na mikate iliyobaki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha teketeza nyama na mikate iliyobaki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nacho kitakachosalia katika hiyo nyama na mikate mtakichoma moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyama yoyote au mkate wowote utakaosalia ni lazima kuteketezwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Masao ya nyama na ya mikate mtayateketeza kwa moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nacho kitakachosalia katika hiyo nyama na mikate mtakichoma moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyama yoyote au mukate wowote utakaobakia unapaswa kuteketezwa.