Leviticus 8:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hamtatoka nje ya mlango wa hema la mkutano kwa muda wote wa siku saba, yaani mpaka muda wenu wa kuwekwa wakfu umekwisha, muda ambao utachukua siku saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msitoke kwenye ingilio la Hema la Kukutania kwa muda wa siku saba, hadi siku zenu za kuwekwa wakfu ziwe zimetimia, kwa kuwa muda wenu wa kuwekwa wakfu utakuwa siku saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala msitoke nje mlangoni pa hema ya kukutania muda wa siku saba, hata siku za kuwekwa wakfu kwenu zitakapotimia; kwa kuwa atawaweka muda wa siku saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hamtatoka nje ya mlango wa hema la mkutano kwa muda wote wa siku saba, yaani mpaka muda wenu wa kuwekwa wakfu umekwisha, muda ambao utachukua siku saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msitoke kwenye ingilio la Hema la Kukutania kwa muda wa siku saba, mpaka siku zenu za kuwekwa wakfu ziwe zimetimia, kwa kuwa muda wenu wa kuwekwa wakfu utakuwa siku saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msitoke kwenye ingilio la Hema la Kukutania kwa muda wa siku saba, mpaka siku zenu za kuwekwa wakfu ziwe zimetimia, kwa kuwa muda wenu wa kuwekwa wakfu utakuwa siku saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala msitoke nje mlangoni pa hema ya kukutania muda wa siku saba, hadi siku za kuwekwa wakfu kwenu zitakapotimia; kwa kuwa atawaweka muda wa siku saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hamtatoka nje ya mlango wa hema la mkutano kwa muda wote wa siku saba, yaani mpaka muda wenu wa kuwekwa wakfu umekwisha, muda ambao utachukua siku saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena hapo pa kuliingilia Hema la Mkutano msipatoke siku saba, mpaka siku zenu zilizowekwa za kutoa ng'ombe za tambiko za kujaza gao zitakapotimia, kwani siku za kujaza gao ni saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala msitoke nje mlangoni pa hema ya kukutania muda wa siku saba, hata siku za kuwekwa wakfu kwenu zitakapotimia; kwa kuwa atawaweka muda wa siku saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hamutatoka inje ya mulango wa hema la mukutano kwa muda wote wa siku saba, ni kusema mpaka muda wenu wa kutakaswa umekwisha, muda ambao utatwaa siku saba.