Leviticus 8:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ameamuru tufanye kama tulivyofanya leo ili tuwafanyieni ibada ya upatanisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lile lililofanyika leo liliagizwa na Mwenyezi Mungu ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vile vile kama vilivyotendeka siku ya leo, ni vivyo Bwana alivyoagiza kufanywa, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ameamuru tufanye kama tulivyofanya leo ili tuwafanyieni ibada ya upatanisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lile lililofanyika leo liliagizwa na BWANA ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lile lililofanyika leo liliagizwa na bwana ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vile vile kama ilivyotendeka siku ya leo, ndivyo BWANA alivyoagiza, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ameamuru tufanye kama tulivyofanya leo ili tuwafanyieni ibada ya upatanisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ilivyofanyika siku hii ya leo, ndivyo, Bwana alivyoagiza kufanya, mpatiwe upozi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vile vile kama vilivyotendeka siku ya leo, ni vivyo BWANA alivyoagiza kufanywa, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ameamuru tufanye kama vile tulivyofanya leo kusudi tuwafanyie ibada ya upatanisho.