Leviticus 8:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtabaki mlangoni mwa hema la mkutano usiku na mchana kwa muda wa siku saba, mkifanya mambo aliyoamuru Mwenyezi-Mungu, la sivyo mtakufa. Ndivyo nilivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lazima mkae kwenye ingilio la Hema la Kukutania usiku na mchana kwa siku saba, na kufanya lile Mwenyezi Mungu analolitaka, ili msife; kwa kuwa hilo ndilo nililoamriwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtakaa mlangoni pa hema ya kukutania muda wa siku saba mchana na usiku, na kuulinda ulinzi wa Bwana ili kwamba msife; kwani ndivyo nilivyoagizwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtabaki mlangoni mwa hema la mkutano usiku na mchana kwa muda wa siku saba, mkifanya mambo aliyoamuru Mwenyezi-Mungu, la sivyo mtakufa. Ndivyo nilivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lazima mkae kwenye ingilio la Hema la Kukutania mchana na usiku kwa siku saba, na kufanya lile BWANA analolitaka, ili kwamba msife; kwa kuwa hilo ndilo nililoamriwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lazima mkae kwenye ingilio la Hema la Kukutania usiku na mchana kwa siku saba, na kufanya lile bwana analolitaka, ili kwamba msife; kwa kuwa hilo ndilo nililoamriwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtakaa mlangoni pa hema ya kukutania muda wa siku saba mchana na usiku, na kuulinda ulinzi wa BWANA ili kwamba msife; kwani ndivyo nilivyoagizwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtabaki mlangoni mwa hema la mkutano usiku na mchana kwa muda wa siku saba, mkifanya mambo aliyoamuru Mwenyezi-Mungu, la sivyo mtakufa. Ndivyo nilivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo hapo pa kuliingilia Hema la Mkutano mtakaa siku saba mchana kutwa na usiku kucha, mwulinde ulinzi wa Bwana, msife, kwani hivyo ndivyo, nilivyoagizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtakaa mlangoni pa hema ya kukutania muda wa siku saba mchana na usiku, na kuulinda ulinzi wa BWANA ili kwamba msife; kwani ndivyo nilivyoagizwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutabaki kwenye mulango wa hema la mukutano usiku na muchana kwa muda wa siku saba, mukifanya mambo Yawe aliyoamuru, kama sivyo mutakufa. Ndivyo nilivyoamuriwa na Yawe.