Leviticus 8:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Aroni na wanawe wakafanya mambo yote aliyoamuru Mwenyezi-Mungu kwa njia ya Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Haruni na wanawe wakafanya kila kitu Mwenyezi Mungu alichoamuru kupitia kwa Musa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Haruni na wanawe wakafanya mambo hayo yote Bwana aliyoyaagiza kwa mkono wa Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Aroni na wanawe wakafanya mambo yote aliyoamuru Mwenyezi-Mungu kwa njia ya Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Aroni na wanawe wakafanya kila kitu BWANA alichoamuru kupitia Mose.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Haruni na wanawe wakafanya kila kitu bwana alichoamuru kupitia kwa Musa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Haruni na wanawe wakafanya mambo hayo yote BWANA aliyoyaagiza kwa mkono wa Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Aroni na wanawe wakafanya mambo yote aliyoamuru Mwenyezi-Mungu kwa njia ya Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Haroni na wanawe wakayafanya haya maneno yote, Bwana aliyoyaagiza kinywani mwa Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Haruni na wanawe wakafanya mambo hayo yote BWANA aliyoyaagiza kwa mkono wa Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Haruni na wana wake wakafanya mambo yote Yawe aliyoamuru kwa njia ya Musa.