Leviticus 8:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, akaikusanya jumuiya yote mbele ya mlango wa hema la mkutano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akafanya kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza, na watu wakakusanyika kwenye ingilio la Hema la Kukutania.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akafanya kama alivyoambiwa na Bwana; na huo mkutano ulikutanishwa mlangoni pa hema ya kukutania.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, akaikusanya jumuiya yote mbele ya mlango wa hema la mkutano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akafanya kama BWANA alivyomwagiza, mkutano ukakusanyika kwenye ingilio la Hema la Kukutania.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akafanya kama bwana alivyomwagiza, na mkutano ukakusanyika kwenye ingilio la Hema la Kukutania.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akafanya kama alivyoambiwa na BWANA; na huo mkutano ulikutanishwa mlangoni pa hema ya kukutania.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, akaikusanya jumuiya yote mbele ya mlango wa hema la mkutano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akafanya, kama Bwana alivyomwagiza, nao mkutano ukakusanyika hapo pa kuliingilia Hema la Mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akafanya kama alivyoambiwa na BWANA; na huo mkutano ulikutanishwa mlangoni pa hema ya kukutania.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akafanya kama vile alivyoamuriwa na Yawe. Akakusanya Waisraeli wote pamoja mbele ya mulango wa hema la mukutano.