Leviticus 8:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akaiambia jumuiya yote hivi: “Lifuatalo ni jambo ambalo Mwenyezi-Mungu ameamuru lifanywe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akawaambia kusanyiko, “Hili ndilo Mwenyezi Mungu ameagiza lifanyike.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akawaambia mkutano, Neno aliloliagiza Bwana kwamba lifanywe, ni hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akaiambia jumuiya yote hivi: “Lifuatalo ni jambo ambalo Mwenyezi-Mungu ameamuru lifanywe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akaliambia kusanyiko, “Hili ndilo BWANA aliloagiza lifanyike.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akaliambia kusanyiko, “Hili ndilo bwana ameagiza lifanyike.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akawaambia mkutano, Neno aliloliagiza BWANA kwamba lifanywe, ni hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akaiambia jumuiya yote hivi: “Lifuatalo ni jambo ambalo Mwenyezi-Mungu ameamuru lifanywe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akauambia mkutano: Hili ndilo, Bwana aliloliagiza kulifanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akawaambia mkutano, Neno aliloliagiza BWANA kwamba lifanywe, ni hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akawaambia: Hili ndilo jambo ambalo Yawe ameamuru lifanyike.