Leviticus 8:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Mose akawaleta Aroni na wanawe na kuwatawadha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa akamleta Haruni na wanawe mbele, akawaosha kwa maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akawaleta Haruni na wanawe, akawaosha kwa maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Mose akawaleta Aroni na wanawe na kuwatawadha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Mose akamleta Aroni na wanawe mbele, akawaosha kwa maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Musa akamleta Haruni na wanawe mbele, akawaosha kwa maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akawaleta Haruni na wanawe, akawaosha kwa maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Mose akawaleta Aroni na wanawe na kuwatawadha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akamkaribisha Haroni nao wanawe, akawaosha kwa maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akawaleta Haruni na wanawe, akawaosha kwa maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Musa akawaleta Haruni na wana wake na kuwanawisha.