Leviticus 9:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya nane baada ya siku saba za kuwekwa wakfu, Mose akamwita Aroni na wanawe pamoja na wazee wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ya nane, Musa akawaita Haruni na wanawe, na wazee wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ilikuwa siku ya nane, Musa akawaita Haruni na wanawe, pamoja na wazee wa Israeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya nane baada ya siku saba za kuwekwa wakfu, Mose akamwita Aroni na wanawe pamoja na wazee wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ya nane Mose akawaita Aroni na wanawe na wazee wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ya nane, Musa akawaita Haruni na wanawe, na wazee wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ilikuwa siku ya nane, Musa akawaita Haruni na wanawe, pamoja na wazee wa Israeli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya nane baada ya siku saba za kuwekwa wakfu, Mose akamwita Aroni na wanawe pamoja na wazee wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya nane Mose akamwita Haroni nao wanawe na wazee wa Isiraeli,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ilikuwa siku ya nane, Musa akawaita Haruni na wanawe, pamoja na wazee wa Israeli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya nane kisha siku saba za kutakaswa, Musa akamwita Haruni na wana wake pamoja na wazee wa Israeli.