Leviticus 9:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Aroni akamchinja mnyama wa sadaka ya kuteketezwa. Wanawe wakamletea damu, naye akainyunyizia madhabahu pande zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Haruni akachinja sadaka ya kuteketezwa. Wanawe wakamletea damu, naye akainyunyiza pande zote za madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akaichinja sadaka ya kuteketezwa; na wanawe Haruni wakamsongezea ile damu, naye akainyunyiza katika madhabahu pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Aroni akamchinja mnyama wa sadaka ya kuteketezwa. Wanawe wakamletea damu, naye akainyunyizia madhabahu pande zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Aroni akachinja sadaka ya kuteketezwa. Wanawe wakamletea damu naye akainyunyiza pande zote za madhabahu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Haruni akachinja sadaka ya kuteketezwa. Wanawe wakamletea damu, naye akainyunyiza pande zote za madhabahu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akaichinja sadaka ya kuteketezwa; na wanawe Haruni wakamsogezea ile damu, naye akainyunyiza katika madhabahu pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Aroni akamchinja mnyama wa sadaka ya kuteketezwa. Wanawe wakamletea damu, naye akainyunyizia madhabahu pande zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena alipomchinja ng'ombe ya tambiko ya kuteketezwa nzima, wanawe Haroni wakampelekea hiyo damu, naye akainyunyiza pande zote juu ya meza ya kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akaichinja sadaka ya kuteketezwa; na wanawe Haruni wakamsongezea ile damu, naye akainyunyiza katika madhabahu pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Haruni akamuchinja nyama wa sadaka ya kuteketezwa. Wana wake wakamuletea damu, naye akainyunyizia mazabahu pande zote.