Leviticus 9:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akaosha matumbo na miguu na kuiteketeza pamoja na ile sadaka ya kuteketezwa kwenye madhabahu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasafisha sehemu za ndani na miguu, akaviteketeza juu ya sadaka ya kuteketezwa juu ya madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akaosha matumbo, na miguu na kuiteketeza juu ya hiyo sadaka ya kuteketezwa madhabahuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akaosha matumbo na miguu na kuiteketeza pamoja na ile sadaka ya kuteketezwa kwenye madhabahu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasafisha sehemu za ndani na miguu na kuviteketeza juu ya sadaka ya kuteketezwa juu ya madhabahu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasafisha sehemu za ndani na miguu, akaviteketeza juu ya sadaka ya kuteketezwa juu ya madhabahu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akaosha matumbo, na miguu na kuiteketeza juu ya hiyo sadaka ya kuteketezwa madhabahuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akaosha matumbo na miguu na kuiteketeza pamoja na ile sadaka ya kuteketezwa kwenye madhabahu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwisha kuuosha utumbo na miguu akaichoma moto juu ya hiyo ng'ombe ya tambiko ya kuteketezwa nzima mezani pa kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akaosha matumbo, na miguu na kuiteketeza juu ya hiyo sadaka ya kuteketezwa madhabahuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akasafisha matumbotumbo na vikanyagio na kuviteketeza pamoja na ile sadaka ya kuteketezwa kwenye mazabahu.