Leviticus 9:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akaweka mbele ile sadaka ya kuteketezwa akatolea sadaka hiyo kulingana na agizo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haruni akaleta sadaka ya kuteketezwa na kuitoa kama ilivyoelekezwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akaisongeza sadaka ya kuteketezwa, na kuitoa sawasawa na sheria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akaweka mbele ile sadaka ya kuteketezwa akatolea sadaka hiyo kulingana na agizo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aroni akaleta sadaka ya kuteketezwa na kuitoa kama ilivyoelekezwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haruni akaleta sadaka ya kuteketezwa na kuitoa kama ilivyoelekezwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akaisongeza sadaka ya kuteketezwa, na kuitoa kulingana na sheria.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akaweka mbele ile sadaka ya kuteketezwa akatolea sadaka hiyo kulingana na agizo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaitoa nayo ng'ombe ya tambiko ya kuteketezwa nzima, akaifanya kama desturi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akaisongeza sadaka ya kuteketezwa, na kuitoa sawasawa na sheria.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akaleta mbele ile sadaka ya kuteketezwa akatolea sadaka hiyo kulingana na agizo.