Leviticus 9:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakayaweka juu ya vidari, naye akaviteketeza kwenye madhabahu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hivi vyote wakaviweka juu ya vidari, kisha Haruni akayateketeza hayo mafuta ya wanyama juu ya madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao wakayaweka hayo mafuta juu ya vidari, naye akayateketeza mafuta juu ya madhabahu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakayaweka juu ya vidari, naye akaviteketeza kwenye madhabahu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hivi vyote wakaviweka juu ya vidari, kisha Aroni akayateketeza hayo mafuta ya wanyama juu ya madhabahu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hivi vyote wakaviweka juu ya vidari, kisha Haruni akayateketeza hayo mafuta ya wanyama juu ya madhabahu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao wakayaweka hayo mafuta juu ya vidari, naye akayateketeza mafuta juu ya madhabahu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakayaweka juu ya vidari, naye akaviteketeza kwenye madhabahu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
haya mafuta wakayaweka juu ya vidari, naye Haroni akayachoma moto haya mafuta mezani pa kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao wakayaweka hayo mafuta juu ya vidari, naye akayateketeza mafuta juu ya madhabahu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakayaweka juu ya vilali, naye akaviteketeza kwenye mazabahu.