Leviticus 9:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Mose na Aroni wakaingia ndani ya hema la mkutano; walipotoka waliwabariki watu, nao utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukaonekana kwa watu wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa na Haruni wakaingia kwenye Hema la Kukutania. Walipotoka nje, wakawabariki watu. Nao utukufu wa Mwenyezi Mungu ukawatokea watu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Musa na Haruni wakaingia ndani ya hema ya kukutania, kisha wakatoka nje, na kuwabarikia watu; na huo utukufu wa Bwana ukawatokea watu wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Mose na Aroni wakaingia ndani ya hema la mkutano; walipotoka waliwabariki watu, nao utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukaonekana kwa watu wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Mose na Aroni wakaingia kwenye Hema la Kukutania. Walipotoka nje wakawabariki watu; nao utukufu wa BWANA ukawatokea watu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Musa na Haruni wakaingia kwenye Hema la Kukutania. Walipotoka nje, wakawabariki watu. Nao utukufu wa bwana ukawatokea watu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Musa na Haruni wakaingia ndani ya hema ya kukutania, kisha wakatoka nje, na kuwabariki watu; na huo utukufu wa BWANA ukawatokea watu wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Mose na Aroni wakaingia ndani ya hema la mkutano; walipotoka waliwabariki watu, nao utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukaonekana kwa watu wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose na Haroni wakaingia Hemani mwa Mkutano; napo walipotoka wakawabariki hao watu, ndipo, utukufu wa Bwana ulipowatokea watu wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Musa na Haruni wakaingia ndani ya hema ya kukutania, kisha wakatoka nje, na kuwabarikia watu; na huo utukufu wa BWANA ukawatokea watu wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Musa na Haruni wakaingia ndani ya hema la mukutano; walipotoka wakawabariki watu, nao utukufu wa Yawe ukaonekana kwa watu wote.